Categories
Uncategorized

Matatu Chronicles – Where the ladies at?

Ushawai ingia mat, then after scanning you’re like ‘dayum…wea the ladies at? 🤔‘ As i head to the back seat the thoughts running thru my mind be sooo wild hadi inabidi akili ijiambie ‘Calm down Agent Salt😏… nobody be trying to kidnap you in the middle of the day, kwanza na hii jua na vumbi ya ukambani🙄‘.

As i head to my seat, i already know who am gonna hit first should some funny business arise…na hata saa hiyo majamaa wa wenyewe hata hawana shughli na mimi🤦🏽‍♀️. There was a time majioni nilikuwa naingia mat hapo GM and after noticing there were no ladies, i hesitated kuketi, the dudes at the back seat ‘Madam…madam…ingia tu hata sisi tulishuku hii gari pia sababu haina msichana’

The irony of this ride(attached pic) was that no matter how many guys alighted bado tu ni wanaume walikuwa wanapanda, n still we were carrying excess.

#MatatuChronicles

By Wakio Mwakio.